NIA NJEMA II WAZAZI
Mpango wa pili wa Nia Njema ni kuhakikisha jamii nzima inanufaika na bima (Financial Inclusion). Mpango huu wa pili humkinga Mwanachama, Mwenza na Watoto sita, pamoja na Wazazi wa mwanachama na wazazi wa Mwenza wa Mwananchama hadi wanne. Mafao yake yanaoneshwa katika jedwali