BIMA YA MAISHA YA VIKUNDI
Bima ya maisha ya vikundi ya gharama nafuu iliyobuniwa na Acclavia Insurance na kupewa amana na Sanlam Life Insurance (T).
Kwa mchango mdogo wa kuanzia Tzs. 3,500 kwa mwezi, mwanakikundi wanapata mafao kuanzia Tzs. 4,000,000.
Malipo hutolewa ndani ya saa 24—48 baada ya kuwasilishwa kwa nyaraka na uongozi wa kikundi.
Inatumia teknolojia (MIS na malipo kwa simu) kukupa urahisi, uharaka na ufanisi. Humlinda mwanakikundi, mwenza na hadi watoto sita katika mipango mitatu ya mafao katika jedwali.